Karibuni wote kwenye Tovuti ya Nyenzo na Machapisho ya Kiafya Katika Lugha ya Kiswahili. Shirika la Hesperian kwa kushirikiana na COBIHESA na wadau wengine wa kujitolea linaanzisha Tovuti Moja mahali ambapo unaweza kupata miongozo yetu kwa jamii juu ya afya na nyenzo zingine za afya katika Kiswahili. Unaweza pia kuweka katika Tovuti hii machapisho na nyenzo zako mbalimbali za kuendeleza afya ya jamii kama vile vipeperushi, mabango, na vingine ambavyo umetengeneza kutokana na miongozo yetu ili kuwashirikisha na kuwanufaisha wengine. Iwapo unataka kushiriki au kujifunza zaidi juu ya juhudi hii, tafadhali wasiliana nasi kupitia [email protected]
Resources in Swahili
Welcome to the Swahili language hub. Hesperian is working with COBIHESA and other volunteers to create a central place where you can find our community health guides and other materials in Swahili. This hub is partially funded by the Knowledge for Health (K4H)/USAID. You can also share your own flyers, posters, and other adaptations of our health materials—if you would like to get involved or learn more about this initiative, please contact us at [email protected]